Watu
wanaokadiriwa kufikia saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na
mapanga na marungu, wamevamia nyumbani kwa mkazi wa kijiji cha Kaduda
kata ya Katoro wilayani Geita na kuwabaka kwa zamu mama na wanawe watatu
kwa zaidi ya saa mbili.
Hali kadhalika, watu hao walimjeruhi mmoja wa watoto wake wa kiume aliyekuwa akishuhudia unyama huo ukifanyika.
Tukio hilo lilitokea usiku wa
↧