Kamati
ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, imeitaka serikali kuwaandaa
Watanzania na miundombinu itakayowawezesha kumiliki uchumi wa gesi.
Akiwasilisha bungeni taarifa ya kamati hiyo kwa kipindi cha Machi hadi
Desemba 15, mwaka huu, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mahmoud Mgimwa,
alisema maandalizi ya uchumi wa gesi yanatakiwa kuwa makubwa.
Alisema hiyo ni pamoja na kumuandaa
↧