Idadi ya watu wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa
tuhuma za kuhusika na mauaji ya Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza, Clement Mabina imeongezeka kutoka saba hadi
10.
Habari kutoka ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza zimeeleza kuwa
watuhumiwa hao walikamatwa kutoka maeneo mbalimbali ya Kata ya Kisesa
kwa ajili ya kuhojiwa.
“
↧