Jackie Cliff ambaye ni video queen wa Bongo anadaiwa
kukamatwa na dawa za kulevya nchini China. Star mmoja nchini aliyekataa
kutajwa jina lake aliutonya mtandao wa swahiliworldplanet bila kufafanua zaidi kwa kusema
kuwa Jackie amekamatwa na madawa ya kulevya China:
"Jackie Cliff
amekamatwa na unga China". alisema star huyo huku akitutumia na picha za
mwanamke aliyefungwa kitambaa
↧