Katika heka heka za kuaga mwaka 2013 usiku wa kuamkia leo mji wa Lindi
ulitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kushuhudia onyesho la
Msanii nyota wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
alipokuwa akitoa burudan kabambe katika Tamasha la kudumisha Amani na
Maendeleo lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,Mhe Bernard
Membe na kufanyika katika Uwanja wa Ilulu Manispaa
↧