MSANII nyota wa filamu Bongo Wema Isack Sepetu amefunguka kwa kudai
kuwa hawezi kuvunja urafiki na meneja wake Martin Kadinda kwa sababu
kama kuna kitu chochote cha mafanikio nyuma yake yupo Kadinda.
Wema Sepetu ameuambia mtandao wa FilamCentral kuwa hana rafiki anayejua siri zake zaidi ya meneja huyo ambaye amekuwa
akimuongoza vema.
“Kadinda
ndo kila kitu kwangu, hata akiondoka na
↧