Wakati mgomo wa wafanyabiashara mkoani Mwanza unaendelea,
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haitatumia ubabe kuwafungia
maduka ambao watashindwa kuwa na Mashine za Kielektroniki (EFD).
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo alisema wameweka mikakati ya kuwaelimisha wafanyabiashara.
Miongoni mwa mikakati hiyo, ni
↧