Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji
kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja
vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete akihutubia baada ya kupokea maandamano ya
watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
katika viwanja vya Maisara mjini
↧