Siku moja baada ya taarifa ya kupigwa bomu wanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga, Usa River, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amefafanua kuwa polisi walitumia bomu la machozi kuwarushia watu kwa lengo la kudhibiti vurugu akidai kuwa waliwarushia polisi mawe, usiku wa mkesha wa mwaka mpya.
Katika tukio hilo, waumini sita waliokuwa wakitoka
↧