Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

JENGO LA RK BARABARA YA NYERERE DAR LATEKETEATEKETEA KWA MOTO MKUBWA

$
0
0
    Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa mchana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali bado si shwari. Sehemu iliyoathirika zaidi  ni ghala la kutunzia dawa za binadamu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>