Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na
Maji (EWURA), katika kikao chake cha tarehe 10 Desemba 2013 pamoja na
mambo mengine, ilitoa maamuzi ya ongezeko la bei za umeme kwa viwango
mbalimbali kwa makundi mbalimbali ya wateja hatua ambayo itaongeza mzigo
wa gharama za maisha kwa wananchi na itaathiri uchumi wa nchi.
Maamuzi hayo yamefikiwa kufuatia tarehe
↧