KATIBU MKUU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.
Willibrod Slaa, ameibua madudu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwamba
vijana milioni nne watakosa fursa ya kupiga kura baada ya tume hiyo
kushindwa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Akizungumza katika mkutano wa pamoja kati ya NEC na viongozi wa
vyama vya siasa nchini, Dk. Slaa alisema wamekuwa na mgogoro
↧