Rais wa mpito wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati,
Michel Djotodia, amejiuzulu kufuatia shinikizo kali na kukosolewa kwa
mwendo wake wa kujikokota katika kusuluhisha mgogoro wa kidini
unaotokota nchini humo. Hatma ya Djotodia ilikuwa swala kuu katika ajenda ya mkutano wa viongozi wa kikanda kuhusu mzozo unaoendelea nchini humo.
Mkutano huo ulifanyika nchini Chad huku maelfu wakiendelea
↧