Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya
mwanamume mmoja aliyezinduka akiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti
katika hospitali moja mjini Naivasha umbali wa kilomita tisini kutoka
mji mkuu Nairobi.
Mwanamume huyo Paul Mburu mwenye umri wa miaka
24, alipelekwa hospitalini kwa matibabu baada ya kunywa sumu kwa lengo
la kujitoa uhai,kutokana na ugomvi wa kinyumbani na babake
↧