wananchi wa sudan kusini
Taarifa kutoka Sudan Kusini zasema kuwa
wanajeshi wa taifa hilo wamechukua udhibiti wa mji wa Bentiu kutoka kwa
waasi watiifu kwa aliyekuwa makamu wa Rais wa nchi hiyo Riek Machar.
Msemaji wa kijeshi huko Juba ameiambia BBC kuwa majeshi ya serikali kwa sasa yamechukua usukani wa mji huo. Amesema kulikuwa na makabiliano madogo kwani
↧