Rais wa Ufaransa François Hollande, ametishia
kuwachukulia hatua za kisheria wahariri wa jarida moja nchini humo
lililochapisha taarifa za uvumi kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na
mwanamke mmoja muigizaji Julie Gayet.
Hollande hakukanusha madai
hayo lakini alisema kuwa jarida hilo limekwenda kinyume na maadili ya
vyombo vya habari kwa kuingilia maisha yake binafsi.
Jarida hilo,
↧