Mwenyekiti
wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke Joseph
Yona ambaye chama hicho kinamtuhumu kushirikiana na CUF kumuunga mkono Zitto Kabwe amepigwa na watu wasiojulikana na kisha kutupwa kwenye eneo la
Ununio kwenye Magorofa ya Wasomali Kawe Dar es salaam.
Shuhuda Abdul Ally ambae ni mkuu wa nyumba zilizokaribu na alikopigwa
Mwenyekiti huyu, anasema
↧