LEO macho na maskio ya watanzania hasa wafuasi na wapenzi wa CHADEMA yalielekezwa katika Mahakama Kuu
Kanda ya Dar es Salaam,pale ambapo Jaji wa Mahakama hiyo Jaji John
Utumwa alikuwa akitoa hukumu dhidi ya Zitto Kabwe na CHADEMA....
Zitto ambaye alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, alifungua kesi
katika Mahakama hiyo akipinga hatua ya Kamati Kuu ya Chama
↧