KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya nchini, kimemkamata
mwanamke mmoja Mtanzania akiwa amebeba kete 63 za dawa za kulevya aina
ya heroine.
Mwanamke huyo, Salama Mzara mkazi wa Mbagala, jijini Dar es
Salaam, alikamatwa juzi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA), akiwa njiani kuelekea Macau nchini China.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,
↧