Penzi lenye historia ya kushamiri, kumwagana na kurudiana limezidi
kuchukua sura mpya, safari hii, Wema Sepetu amenaswa akimrekodi
video baby wake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Chanzo cha kuvuja kwa scene hiyo mpya ilitokea Ijumaa iliyopita ambapo
bila hiyana, bibie Wema aliamua kuitupia video katika Mtandao wa
Instagram ambayo alimrekodi Diamond aliyekuwa akiandika mashairi
↧