TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni
Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea
miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo
ameungana na Watanzania na Wazanzibari
↧