Kamanda Zelothe Stephen
**
Habari za hivi punde zinasema kuwa watu
watatu akiwamo Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Newala wameuawa kwa
kupigwa risasi na mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi muda mfupi uliopita.
Kwa
mujibu wa mashuhuda, jambazi huyo aliyekuwa na bunduki aina ya SMG
iliyokatwa kitako, alifika kwenye kituo cha mafuta cha Camel Oil mjini
humo akijifanya anataka kununua mafuta.
↧