Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Rais Kikwete aagana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa Ikulu jijini Dar

$
0
0
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini (Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>