Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Sad News: Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo ( CCM ) afariki dunia

$
0
0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne S. Makinda (Mb), anasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Saidi Ramadhani Bwanamdogo Kilichotokea leo Jumatano asubuhi tarehe 22.1.2014 Katika hospitali ya MOI DSM alipokuwa amelazwa kwa Matibabu.    Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi  kwa kushirikiana na familia ya Marehemu. Inna

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles