Watu 13 wamefariki dunia baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna mkoani Singida...
Habari zaidi
zinaarifu kuwa, ajali hiyo imehusisha gari aina ya Toyota Noah na lori ambayo
namba zake za usajili hazikupatikana mara moja.
Watu 13 waliofariki
walikuwa katika Noah iliyokuwa ikitokea Itigi na maiti zao zimehifadhiwa
katika Hospitali ya Mkoa wa Singida.
↧