Baadhi ya wadau wa elimu wamesema kubakizwa kwa Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa na kumwondoa Naibu Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo hakuwezi kuleta mabadiliko
yoyote kwani Waziri ndiye msimamizi mkuu wa sera.
Wakitoa maoni yao jana kuhusu mabadiliko kwenye
wizara hiyo, baadhi yao walisema hakutakuwa na miujiza kutoka kwa
Jenista Mhagama
↧