Mlemavu wa ngozi anusurika kuuawa
Msichana Kulwa Joseph (21) mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) mkazi wa kijiji cha usonga kata ya sirambo wilayani kaliua mkoani Tabora, amenesurika kuuawa na majambazi watatu, ambapo awali walimteka...
View ArticleMchungaji akamatwa na dawa za kulevya za bil.2
Jeshi la Polisi kitengo cha Kupambana na Dawa za kulevya limekamata kilo40 za dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya shilingi bilioni2. Â Tukio hilo lilitokea juzi eneo la Tegeta nje kidogo...
View ArticleMbunge aongoza wananchi kujigawia ardhi Arusha
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari juzi aliongoza wapiga kura wake kugawa shamba linalomilikiwa na Chama cha Ushirika mkoani Arusha (ACU), akisema amechoka kuona wananchi wake...
View ArticleKijans Alipukiwa na bomu kwenye gari, afa
KIJANA Juma Rashid anayesadikiwa kuwa na umri kati ya 21 na 23 amekufa baada ya kujeruhiwa vibaya na kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kilicholipuka ndani ya gari na kumkata kiganja cha mkono, mguu na...
View ArticleMoshi kuwa Jiji Ifikapo 2015
MKOA wa Kilimanjaro umepitisha rasmi azimio la kuiomba Serikali kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kuwa jiji ifikapo mwaka 2015. Â Azimio hilo limepitishwa katika kikao cha ushauri cha...
View ArticleWaliofungwa Kesi ya EPA Waachiwa huru
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1...
View ArticleSakata zima la Vurugu za Mdahalo wa Katiba NA Jinsi Jaji Warioba...
MDAHALO wa kujadili Katiba inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, jana ulivunjika baada ya kutokea vurugu ambako Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph...
View ArticleKidato cha nne waanza mtihani wa Taifa
Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari utakaokamilika baada ya siku 20, huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.  Idadi ya...
View ArticleFumanizi Mstuni: Mchungaji Afumaniwa na mke wa Afisa wa Polisi wakingonoka...
Habari kubwa iliyoenea kwenye mitandao ambayo huenda hujabahatika kukutana nayo leo ni kuhusiana na fumanizi lililofanywa na askari polisi katika gari ambapo watu wawili wamekutwa wakifanya mapenzi...
View ArticleKaimu Mkurugenzi wa TPDC na mwenyekiti wake wa bodi watupwa rumande kufuatia...
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petrol nchini Tanzania (TPDC) Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo James Andilile wanashikiliwa na polisi kwa kushindwa kuwasilisha mikataba...
View ArticleMakonda Akana Kumpiga Jaji Warioba......Asema anamheshimu kama baba yake!
Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, Paul Makonda amekanusha taarifa ya kwamba amehusika kumpiga Waziri Mkuu wa zamani Jaji Joseph warioba jana.  Amesema hawezi...
View ArticleSpika wa Bunge, Anne Makinda Achaguliwa kuwa Rais Mpya wa Bunge la SADC
MKUTANO wa 36 wa Bunge la nchi wanachana wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), umemchagua kwa kishindo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda kuwa Rais...
View ArticleRais Kikwete ataka mafunzo yenye ufanisi kukabili Rushwa
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuanzisha mafunzo yatakayotolewa kwa watu maalumu kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa namna ya kupambana na rushwa...
View ArticlePadri wa Kanisa Katoliki akerwa na USHOGA
PADRI wa Kanisa Katoliki nchini amedai kupokea maombi ya watu wanaotaka kufungishwa ndoa ya jinsia moja, kitendo alichokilaani na kukikemea, akisema ni kinyume kabisa na taratibu za kanisa hilo, huku...
View ArticleJanga:Bodaboda zinaua watatu kila siku nchini
Licha ya kutoa ajira kwa maelfu ya vijana wa Kitanzania na pia kupunguza tatizo la usafiri mijini litokanalo na foleni, usafiri wa pikipiki maarufu kama 'bodaboda' umeendelea kuua watu kimyakimya na...
View ArticleRais Kikwete Aomba Yasimkute ya Jaji Warioba.....Polisi watoa tamko, CUF...
Rais Jakaya Kikwete amesema anaomba yasimkute ya Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba aliyeshambuliwa katika mdahalo wa katiba uliofanyika Dar es Salaam, juzi....
View ArticleRufaa ya Sheikh Ponda Yatupiliwa Mbali
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeyatupilia mbali maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ya kuitaka isimamishe kesi ya uchochezi inayomkabili katika...
View ArticleWalimu watumia MIHOGO kuandikia Biharamulo
Walimu wawili wanaojitolea katika Shule ya Msingi Msali, Kata ya Nyakahura, wilayani Biharamulo, mkoani Kagera wanatumia vipande vya mihogo mikavu na mkaa kuandikia ubaoni baada ya kukosa chaki....
View ArticleBAVICHA kutumia chopa kupinga Katiba mikoani
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la vijana, kimetangaza kuzindua Bavicha Operesheni itakayohusisha matumizi ya chopa kuzunguka katika mikoa ya kanda za Kati na Magharibi...
View ArticleWassira aitahadharisha CCM uteuzi wa wagombea
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira, amekitaka chama Cha Mapinduzi (CCM), kutokufanya makosa ya kusimamisha wagombea wasiokubalika katika uchaguzi wa serikali za...
View Article