MDAHALO wa kujadili Katiba inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya
Mwalimu Nyerere, jana ulivunjika baada ya kutokea vurugu ambako
Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph
Warioba, alipigwa vibao shingoni na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa
CCM.
Hali hiyo ilijitokeza kwenye Hoteli ya Blue Pearl iliyopo Ubungo
Dar es Salaam, baada ya kuvunjika mdahalo
↧