Licha ya kutoa ajira kwa maelfu ya vijana wa Kitanzania na pia kupunguza tatizo la usafiri mijini litokanalo na foleni, usafiri wa pikipiki maarufu kama 'bodaboda' umeendelea kuua watu kimyakimya na kuwasababishia ulemavu wa kudumu maelfu ya manusura wa ajali za vyombo hivyo kila uchao.
Uchunguzi uliofanywa na NIPASHE umebaini kuwa mbali na vifo na ulemavu, bodaboda zimeathiri pia utoaji
↧