PADRI wa Kanisa Katoliki nchini amedai kupokea maombi ya watu wanaotaka kufungishwa ndoa ya jinsia moja, kitendo alichokilaani na kukikemea, akisema ni kinyume kabisa na taratibu za kanisa hilo, huku akiapa maishani mwake hatafungisha ndoa za aina hiyo.
Aidha, ametishia kuacha kazi ya kumtumikia Mungu endapo atalazimishwa kufanya hivyo, kama ndoa za aina hiyo zikiridhiwa na kanisa hilo
↧