RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuanzisha mafunzo yatakayotolewa kwa watu maalumu kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa namna ya kupambana na rushwa nchini kwa ufanisi.
Alisema hayo jana alipofungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa
↧