Rais Jakaya Kikwete amesema anaomba yasimkute ya Mwenyekiti wa
iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
aliyeshambuliwa katika mdahalo wa katiba uliofanyika Dar es Salaam,
juzi.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo Mwanza jana katika
mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kupambana na Rushwa (Safac)
unaojumuisha nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa
↧