Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeyatupilia mbali maombi
ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda ya kuitaka isimamishe kesi ya uchochezi inayomkabili katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro hadi itakapotoa uamuzi wa rufaa yake.
Jaji
Lawrence Kaduri aliyatupilia mbali maombi hayo baada ya kukubaliana na
pingamizi la awali lililowasilishwa
↧