Msichana
Kulwa Joseph (21) mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) mkazi wa kijiji cha
usonga kata ya sirambo wilayani kaliua mkoani Tabora, amenesurika kuuawa
na majambazi watatu, ambapo awali walimteka Balozi wa nyumba kumi na
kumpiga ili awapeleke kwa mlemavu huyo naye kwa kubaini nia mbaya
akawapeleka nyumba nyingine.
Akizungumza katika kituo cha kulelea yatima na wanaoishi katika
↧