Jeshi la Polisi kitengo cha Kupambana na Dawa za kulevya limekamata
kilo40 za dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya shilingi
bilioni2.
Tukio hilo lilitokea juzi eneo la Tegeta nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam ambapo Polisi walifaniikiwa kuwanasa watu wawili wakiwa na dawa
hizo ndani ya nyumba inayomilikiwa na mchungaji ambaye wakati huo alikua
katika kanisa lake lililopo
↧