MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari juzi aliongoza wapiga kura wake kugawa shamba linalomilikiwa na Chama cha Ushirika mkoani Arusha (ACU), akisema amechoka kuona wananchi wake wakisotea ardhi ilhali kuna maeneo hayaendelezwi.
Nassari aliongozana na wapiga kura wake hadi eneo la shamba la Valeska na kuanza kuwagawia ardhi bila ya kuwa na kibali kutoka kwa mmiliki wa
↧