KIJANA Juma Rashid anayesadikiwa kuwa na umri kati ya 21 na 23 amekufa baada ya kujeruhiwa vibaya na kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kilicholipuka ndani ya gari na kumkata kiganja cha mkono, mguu na tumbo, huku watu wengine watatu waliokuwa ndani ya gari hilo nao wakijeruhiwa.
Tukio hilo lililothibitishwa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Longinus Tibishubwamu, limetajwa
↧