Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Leonard Celestine ambaye anasomea
upadri, anayemalizia masomo ya falsafa (philosophy) mwaka wa tatu
katika Chuo cha Jordan mjini Morogoro, anadaiwa kuaibika gesti, kisa
kikiwa ni mke wa mtu gesti.
Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio
hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni kwenye Gesti ya Silver Inn
iliyopo maeneo ya Msamvu mjini Morogoro ambapo
↧