Kala: Mwaka huu nimeingiza kipato kikubwa kuliko miaka yote. Akanusha kupotea...
Hit maker wa ‘Dear God’, Kala Jeremiah amepinga vikali kuwa amepotea kwenye game toka alivyohit na wimbo wa ‘Dear God’, huku akidai kuwa huu ndio mwaka ambao ameingiza pesa nyingi kuliko miaka mingine...
View ArticleTaarifa ya Diamond kutunikiwa PHD na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, yakanushwa
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Rwekaza Mukandala amekanusha taarifa zilizozagaa zinazodai kuwa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz atatunukiwa Shahada ya Uzamivu (PHD)...
View ArticleMsichana aliyeigiza kwenye video ya ‘Nampenda Yeye’ ya Temba afariki dunia
Msichana aliyeigiza kwenye video ya wimbo wa Mheshimiwa Temba aliomshirikisha Dully Sykes, ‘Nampenda Yeye’ amefariki dunia. Temba amesema msichana huyo aitwaye Batulli alifariki juzi. “RIP Batuli....
View ArticleAunt Ezekiel: Sina ujauzito, nimenenepa tu!
Habari zilizozagaa mitaani kupitia mtandao wa Instagram kuwa staa wa filamu za Kibongo Aunt Ezekiel huenda ni mjamzito, zimekanushwa na muigizaji huyo. Alipoulizwa kupitia U Heard ya XXL ya Clouds Fm...
View ArticleWananchi wachoma jengo la bunge na kuvamia ikulu nchini Burkina Faso
Waandamaji wenye hasira nchini Burkina Faso wamelichoma moto jengo la bunge kufuatia mipango ya Rais Blaise Compaore kutaka kurefusha kipindi chake cha utawala uliodumu kwa miaka 27. Mamia ya watu...
View ArticleMwanaume Atiwa Mbaroni baada ya kukutwa akifanya Mapenzi na Kondoo
Mtu mmoja mkazi wa Kiamaina, Nakuru amekamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na kondoo. Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la John Chege mwenye umri wa miaka 27,...
View ArticleWema Sepetu Ampiga Chid Diamond.....Wakutana kwenye sherehe, wachuniana kama...
Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo...
View ArticlePolisi Waanza Msako Mkali wa Madereva Wawili WALIOUA Abiria 12 jijini Arusha
POLISI mkoani Arusha inawasaka madereva wawili wa magari mawili ambayo yalisababisha ajali iliyoua abiria 12 na kujeruhi wengine watatu. Madereva hao ni wa basi dogo la abiria aina ya Nissan lenye...
View ArticleTaarifa ya CAG ya ukaguzi maalum wa IPTL wa akaunti ya Tegeta Escrow
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inapenda kuujulisha Umma kuwa Ukaguzi Maalum wa akaunti ya Tegeta Escrow ambao unafahamika kama Ukaguzi wa IPTL unaendelea na unaongozwa na...
View ArticleLowassa, Makamba ‘wagongana’ kanisani
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba wamewaomba viongozi wa dini kuwasamehe viongozi wa Serikali waliokwaruzana nao wakati wa...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleLipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye
Wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akisema suala la ruzuku na viti maalumu ni changamoto kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba...
View ArticleAskari Polisi Amkata Vidole Vinne Mfanyakazi wake wa Ndani akimtuhumu...
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia askari wake WP Fatuma wa Kituo cha Polisi Igogo wilayani Nyamagana kwa kosa la kumjeruhi mtumishi wake wa ndani kwa mkumkata vidole vyake vinne vya mkono wa...
View ArticleBasi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.
Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani. Dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na...
View ArticleJeshi Lagawanyika kuhusu Uongozi Burkina Faso
Mgawanyiko umeripotiwa ndani ya jeshi la Burkina Faso kuhusu ni nani anayefaa kuliongoza taifa hilo kufuatia kujiuzulu kwa rais Blaise Campaore baada ya miaka 27 uongozini. Kituo kimoja cha radio...
View ArticleChidi Benz asimulia story nzima jinsi ilivyokuwa hadi kukamatwa na dawa za...
Rashid Makwiro a.k.a Chidi Benz ambaye ameachiliwa kwa dhamana Jumatano wiki hii, amesimulia jinsi ilivyokuwa hadi kukamatwa Ijumaa iliyopita Oct.24 na dawa za kulevya kwenye uwanja wa ndege wa...
View ArticleCCM kushika dola uchaguzi ujao - Nape
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema ushindi wa Urais nchini Msumbiji, ni salamu kwa vyama vya upinzani nchini kuwa uchaguzi ujao, CCM itaendelea kushika dola. Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa,...
View ArticleBig Brother Africa: Video za Washiriki Wakioga Bafuni ziko hapa ( Video hizi...
Video za washiriki wa jumba la big brother wakioga bafuni ziko hapa. Video hizi ni kuanzia DAY 18 hadi DAY 26. Kabla hujaangalia video hizi, taarifa zikufikie kuwa mshiriki...
View ArticleVurugu: Ngumi zapigwa wakati wa mdahalo wa katiba
Vurugu zilizoambatana na ngumi kurushwa zimetokea katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada...
View ArticlePadri Mtarajiwa Aaibika Gesti baada ya kufumaniwa na mke wa mtu
Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Leonard Celestine ambaye anasomea upadri, anayemalizia masomo ya falsafa (philosophy) mwaka wa tatu katika Chuo cha Jordan mjini Morogoro, anadaiwa kuaibika gesti,...
View Article