Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za
wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye
mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba,
sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’
amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni
rafiki mkubwa wa wapenzi hao,
↧