Mtu mmoja mkazi wa Kiamaina,
Nakuru amekamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi baada ya
kukutwa akifanya mapenzi na kondoo.
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la John
Chege mwenye umri wa miaka 27, ambaye ni fundi wa kukarabati mabomba ya
maji katika eneo hilo amekiri kufanya kosa hilo japo amelalamika kuwa
mama yake mzazi amehusika kumuandalia mtego wa kumkamata akifanya
kitendo
↧