Waandamaji wenye hasira nchini Burkina Faso wamelichoma moto jengo la
bunge kufuatia mipango ya Rais Blaise Compaore kutaka kurefusha kipindi
chake cha utawala uliodumu kwa miaka 27.
Mamia ya watu walivuka ulinzi mkali katika jengo la bunge katika mji
mkuu Ouagadougou, ambapo walichoma moto magari kabla ya kukivamia kituo
cha runinga cha serikali na kisha ikulu.
Mtu mmoja aliuawa
↧