Habari zilizozagaa mitaani kupitia mtandao wa Instagram kuwa staa wa
filamu za Kibongo Aunt Ezekiel huenda ni mjamzito, zimekanushwa na
muigizaji huyo.
Alipoulizwa kupitia U Heard ya XXL ya Clouds Fm kama anatarajia kuwa
mama, Aunt amesema hana ujauzito wowote isipokuwa anachojua yeye
amenenepa tu na kama mimbo ipo basi watu wataona.
Baadhi ya mashabiki
wake wamekuwa wakimuuliza
↧