Vurugu
zilizoambatana na ngumi kurushwa zimetokea katika Ukumbi wa
Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo
wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama
ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba.
Vurugu hizo
zimezuka baada ya watu waliokuwa na mabango
↧