Wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akisema
suala la ruzuku na viti maalumu ni changamoto kwa Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema
hicho si kipaumbele.
“Tunachokitaka ni kuunganisha nguvu zetu ili
kuhakikisha tunaing’oa CCM madarakani kwanza, masuala mengine kuhusu
ruzuku tutaweka utaratibu maalumu baadaye,”
↧