Chama
Cha Mapinduzi (CCM), kimesema ushindi wa Urais nchini Msumbiji, ni
salamu kwa vyama vya upinzani nchini kuwa uchaguzi ujao, CCM itaendelea
kushika dola.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnauye, aliyasema hayo
jana jijini Dar es Salaam, wakati chama hicho kikitoa salamu za pongezi
kwa Rais mteule wa Msumbiji, Filipe Nyusi, aliyeshinda kiti hicho katika
uchaguzi
↧