Rashid Makwiro a.k.a Chidi Benz ambaye ameachiliwa kwa dhamana
Jumatano wiki hii, amesimulia jinsi ilivyokuwa hadi kukamatwa Ijumaa
iliyopita Oct.24 na dawa za kulevya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa
Julius Nyerere.
Chidi alizungumza na Soudy Brown kupitia So So Fresh ya Clouds FM jana.
“Sikuwaambia natumia, niliwaambia dawa ambazo nilikuwa niko nazo
lazima nitakuwa
↧