Mgawanyiko umeripotiwa ndani ya jeshi la Burkina Faso kuhusu ni nani
anayefaa kuliongoza taifa hilo kufuatia kujiuzulu kwa rais Blaise
Campaore baada ya miaka 27 uongozini.
Kituo kimoja cha radio kilitangaza taarifa
kutoka kwa naibu mkuu wa kikosi cha kumlinda rais kanali Isaac Zida
iliyosema kuwa amechukua jukumu la kuliongoza taifa hilo.
Mkuu wa majeshi ya Burkina Faso Jenerali
↧