Askari Polisi wanusurika kulipukiwa na bomu Songea
Askari polisi wanne wamenusurika kulipuliwa kwa bomu la kienyeji usiku wa kuamkia jana lililotegwa eneo wanalokaa asakari hao. Tukio hilo limetokea wakati wakikagua magari jirani na transimita ya...
View ArticleRay C Aifuta Kesi ya Chid Benzi
Wakati nyota wa muziki wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ akikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa na madawa ya kulevya akiwa njiani kuelekea Mbeya, Rehema Chalamila ‘Ray...
View ArticleSerikali ya Tanzania yakataa Rasmi kutambua Ndoa za Mashoga ( Jinsia moja)
SERIKALI ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja (ushoga) kama moja ya agenda za maendeleo katika malengo ya milenia 2015 mpaka 2030 katika mkutano wa Umoja wa Mataifa. Akizungumza...
View ArticleRais aipasua kichwa Ukawa Uchaguzi Mkuu 2015
Baada ya vyama vinne vya upinzani nchini kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo, umoja huo sasa unakabiliwa na kazi ngumu ya kuweka sawa...
View ArticleTCRA yatoa mwongozo wa uchaguzi Mkuu Ujao kwa vyombo vya habari
Ukiwa umesalia mwezi mmoja kuanza kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa rasimu ya mwongozo kwa vyombo vya habari vya utangazaji utakaongoza namna ya...
View ArticlePolisi Yatumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Wafuasi wa CHADEMA waliokuwa...
Jeshi la Polisi wilayani Kyerwa limetumia mabomu ya machozi kupambana na wafuasi wa Chadema waliotaka kufanya mkutano wa ndani. Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe jana na Mwenyekiti wa Baraza la...
View ArticleUozo vyama vya siasa....Mabilioni ya fedha yatafunwa, CCM, CUF, NCCR-Mageuzi...
Na Patricia Kimelemeta-MTANZANIA RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2012/13, imeibua uozo mkubwa katika hesabu za vyama vya siasa. Mbali ya uozo huo, CAG pia amebaini...
View ArticleMwanamke Anayedaiwa kupigwa na mumewe baa afariki dunia
MWANAMKE Sakina Kopa (41) amefariki dunia siku tatu baada ya kupigwa na kujeruhiwa na mumewe anayedaiwa kuchukizwa kwa kumkuta akiwa baa usiku. Aidha, katika tukio jingine linalohusishwa na wivu,...
View ArticleSerikali Yashauriwa Kulifuta Jiji la Mwanza
KAMATI ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeishauri Serikali kuifuta Halmashauri ya Jiji la Mwanza baada ya kubaini upotevu wa zaidi ya Sh bilioni 40. Mwenyekiti wa...
View ArticleFisi Wavunja NDOA Ya Watu Mkoani Singida
Katika hali isiyo ya kawaida, Limu Jumanne mkazi wa mkoani Singida, amemtimua na kumrejesha mkewe kwa wazazi wake akidai ni mvivu na mzembe kutokana na kushindwa kudhibiti kundi la fisi...
View ArticleHatimaye Chid Benz Apata Dhamana
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’ amepata dhamana mapema hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo...
View ArticleAJALI: Lori la Mafuta lagonga tuta na kulipuka jijini Dar
Lori la mafuta aina ya Scania likiwa limesheheni dizeli likitokea bandarini jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani, liligonga tuta katika Barabara ya Morogoro, eneo la Kimara-Baruti, likapoteza...
View ArticleRais wa Zambia, Michael Sata afariki dunia jijini London.....Sata anakuwa...
Aliyekuwa rais wa Zambia Michael Sata amefariki usiku wa jana tarehe 28 Oktoba kutokana na ugonjwa ambao bado serikali ya nchi hiyo haijaweka wazi. Sata (77) amefariki akiwa anatibiwa nchini...
View ArticleAjali Yaua Watu 9 Mkoani Arusha baada ya Hiace Kugongana Uso kwa Uso na Lori...
Watu 9 wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Makumira wilayani Arumeru baada ya basi dogo aina ya Hiace kugongana uso kwa uso na lori la...
View ArticleMlegezo Wamponza Chid Benz Mahakamani
Kuonesha wapo ‘serious’ na mavazi, polisi walimtaiti staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ na kumtaka akavae vizuri kisha arejee mahakamani. Tukio hilo lilitokea juzi, Jumanne katika...
View ArticleWema Sepetu: Najuta Kuwa Maarufu
‘BEAUTIFUL Onyinye’, WEMA Isaack Sepetu ‘Madame’ ametoa ya moyoni na kufichua kwamba maisha yake ya umaarufu anayoishi yanamtesa kwa asilimia 40. Pamoja na mateso hayo, staa huyo wa filamu alisema...
View ArticleKesi ya Miss Tanzania bado mbichi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemruhusu Prashant Patel kubadilisha hati ya madai katika kesi aliyoifungua dhidi ya mshirika wake, Hashim Lundenga. Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Frank Moshi,...
View ArticleUJUMBE mfupi wa simu ya mkononi (SMS) wa NABII Wavunja NDOA ya Muumini Wake
UJUMBE mfupi wa simu ya mkononi (SMS) wa kimapenzi ambao ulitumwa kutoka simu inayomilikiwa na kiongozi wa kanisa la Ngurumo ya Upako, Nabii Geor David Kasambala kwenda kwa mke wa muumini wa kanisa...
View ArticleMSIBA : Muigizaji Mzee Manento afariki dunia.
Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia usiku wa kuamkia jana. Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba ambazo ni Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor...
View ArticleBosi wa Apple Tim Cook atangaza kuwa ni shoga
Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Apple Tim Cook ametangaza kuwa ni shoga na kwamba anajivunia kuwa hivyo. Cook alitoa tamko hilo ili kujaribu kuwasaidia watu wanaong’ang’ana kutangaza jinsia zao...
View Article