Baada ya vyama vinne vya upinzani nchini kusaini makubaliano ya
kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote
zijazo, umoja huo sasa unakabiliwa na kazi ngumu ya kuweka sawa mambo,
ikiwa ni pamoja na mchakato wa kumpata mgombea urais, kabla ya filimbi
ya uchaguzi kupulizwa.
Vyama hivyo vitalazimika kufanya uamuzi katika
sera tofauti za vyama vyao, kukabiliana
↧